Nasaha
“Chui hakumbatiwi.”
Martin
“Rasharasha ndio mwanzo wa mvua.” Ufanisi hupatikani siku moja. “
Kassim Kombe
” Wali wa kushibia huonekana siniani . “
Msheshe . R . Rashid
” Haijalishi kama wewe ndio mwindaji au awindwaye, lakini jua lituapo, afadhali ukimbilie usalama wako. “
Paul Nganga
” Hatujumuiki kwa sababu ya mbalamwezi. Kila mtu anaweza kuionea kwake. Ni kwa sababu ni vyema kwa jamaa kujumuika… “
Paul Nganga
” Upendo hujenga, chuki hubomoa.”
Kassim Kombe
“Mwenye kutenda jamala naye hulipwa jamala”
Martin
“Ota moto na aliyekusaidia kutafuta Kuni”
Martin
- 1
- 2
