Waelekezaji; Hassan Kassim na Kassim Kombe.
Ukumbi: Alliance Français

Tarehe 7 Julai ni siku ambayo inatambuliwa duniani kote kama siku ya kusherehehekea na kuienzi lugha yetu aushi na adhimu ya Kiswahili. Nasi SHIWAKI hatukuwa nyuma kusherehekea siku hii kubwa pamoja na Nuria Bookshop katika ukumbi wa Alliance Francais, Mombasa.

“Kiswahili na SHIWAKI, SHIWAKI na Kiswahili”

Categorized in: