Wimapo paangalie, unaweza kuanguka,Ulimwengu uujue, dawama hubadilika,Kila kilele alie, na chini pia hushuka,Pavumapo palilie, si kazi kudamirika,Wa…
Mashairi
Kuna banati mzuri, aloumbwa kuumbika Ulimwengu mashuhuri, kila kona atajika Urembo na utajiri, kila Mtu amtaka Alonacho…
Hiamka huangaza, kuliani na shimali Sikuoni mliwaza, ubavu wangu wa pili Ikiwa nilikukwaza, leo natubiya kweli Kwa…
Mama sema na mwanao, kuhusu hii dunia Kwamba aona pumbao, na maraha maridhia Mwambie pindo utao, mshalewe…
Siku ya tua na twika, msi ozi akiona, Pachimbwa patachimbika, utafukuka na mwina Siri itabainika, bayana kama…
Wake wengine ni jaha, nuru shani ya Manani Wamejaliwa staha, na utu uso kifani Nyumba hutia furaha,…
Lipi lililokufunda, utake kuniridhia? Nilipolia na nyonda, matozi yakanishia Ulinita mwanakwenda, hutaki kunisikia Si wewe uloniponda, kama…
Si hasha tuvimbiane, kwa maneno ya kuuma, fojo zikatwelemea Ni wazi tuambiane, pendo halipo salama, kidete lachechemea…
Tumbo nitakupa nini,utwae usikufuru Kwenye hii Ramadhani,wakati wa kufuturu Vizuri wavitamani,nikupavyo hushukuru Kwa nini huna shukuru!? …
