Sili kilofunuliwa, chakula hicho haramu, Kisichofunikwa kawa, kwangu hakina utamu, Msambe huku kulewa, nina akili timamu, Sili…
Mashairi
53 Articles
53
Mwenyezi wetu Rahimu, muumbi wa ulimwengu, Mwenye sifa tamu tamu, uishiye kwenye mbingu, Siku kitoa hukumu, na’mba…
Siachi na sitaacha, univae ubunifu Nizitunge kwa papacha, kundini niweke tifu Na mafumbo kuyaficha, ‘siwe mepesi ja…
Bado najikinga, yasikugharimu Usijeyazinga, ya kunilaumu Nitapojitenga, sijekunywa sumu  Bado najifunga, zisije nadamu Sebu ya waganga,…
Nini kinakusumbua, dhambini ukajitia unafanya ukijua, kuwa hiyo ni hatia Ni vyema ukaradua, kwa Ilahii kutubia kwanini…
Ewe mfuma mipango, kwangu iso mipendezi Ulokithiri urongo, na sifa za kijambazi Nakufikisha ukingo, kwangu hutopiga mbizi…
