Mwenyezi wetu Rahimu, muumbi wa ulimwengu, Mwenye sifa tamu tamu, uishiye kwenye mbingu, Siku kitoa hukumu, na’mba…
Utafiti nimechuja, natoa mapendekezo,Wa’jiri na mameneja, nimechambua mawazo,Fukara nao na hoja, sijaacha mabakizo,Vinywa vyao vimejaa, huyu adui…
Moyo unavuja damu, hubani kusalitiwa,Ama mi si mwanadamu, pendo nalazimishiwa?Kabisa meisha hamu, penzi nimedhulumiwa,Moyo umeshahiniwa, kupenda sikutamani….
Wakenya ninalo swali, nijibuni kwa makini,Lanisumbua akili, mwenzenu sina amani,Hivi muonavyo hali, huwa mnawaza nini?Maovu kupendelea, tunajenga…
Ya hapa Kenya maisha, hayaishiki,Chakula ukijilisha, hakilikiki,Bei wameipandisha, haishukiki. Dukani kukinunua, hakinunuki,Gharama wameinua, haishukiki,Kwa ushuru kwongezea, haupunguki….
Maishani nalemewa, uzazi kulazimiwa,Unyama nilitendewa, hadi mimba nikatiwa,Sasa ni muathiriwa, mwili nilishahiniwa,Kipi kwangu uliona, baba ukaninajisi? Siku…
