Nilipokuwa mdogo waliniambia kua. Kua uone… Kwa hakika kipindi hicho sikuweza kuipambanua vyema kauli hii. Nami nilidhani…
Si hasha tuvimbiane, kwa maneno ya kuuma, fojo zikatwelemea Ni wazi tuambiane, pendo halipo salama, kidete lachechemea…
Sili kilofunuliwa, chakula hicho haramu, Kisichofunikwa kawa, kwangu hakina utamu, Msambe huku kulewa, nina akili timamu, Sili…
Siachi na sitaacha, univae ubunifu Nizitunge kwa papacha, kundini niweke tifu Na mafumbo kuyaficha, ‘siwe mepesi ja…
Ndivyo walivyo. Na ndivyo wanavyokuwa. Wanapokuwa wadogo hutembea na kucheza pamoja. Kuchokozana, kutaniana na kupigana ndiyo michezo…
Yule niliyempenda, moyoni nikamuwekaAnanifanyia inda, leo amenigeukaKimoyo kinanidunda, mapigo yahisabikaMoyoni nina kidonda, kidonda kisotibika. Umesalitika moyo, moyo…
Page 1 of 1
