Wimapo paangalie, unaweza kuanguka,Ulimwengu uujue, dawama hubadilika,Kila kilele alie, na chini pia hushuka,Pavumapo palilie, si kazi kudamirika,Wa…
Mawaidha
6 Articles
6
Kuna banati mzuri, aloumbwa kuumbika Ulimwengu mashuhuri, kila kona atajika Urembo na utajiri, kila Mtu amtaka Alonacho…
Mama sema na mwanao, kuhusu hii dunia Kwamba aona pumbao, na maraha maridhia Mwambie pindo utao, mshalewe…
Kwenye magwa yagwishayo, mbwagwa akaanguka,Mgwa magwa abwagwayo, akagwa kutoinuka,Gwisho la yake magwiyo, mgwa anapopomoka,Ukigwa mgwa nyanyuka, kugwa…
Ajabu yenye ajabu, kwetu sisi waislamuAibu tena aibu, vipi tutajifahamuNi zipi hasa sababu? kila leo kulaumuDada muvae…
