Hiamka huangaza, kuliani na shimali Sikuoni mliwaza, ubavu wangu wa pili Ikiwa nilikukwaza, leo natubiya kweli Kwa…
Bashiru Abdallah ni mshairi ambaye amewahi kushinda tuzo kadhaa, ikiwemo Tuzo ya Kiswahili ya Safal ya Fasihi ya Afrika mwaka 2025 kwa diwani yake ya Bure Ghali, iliyochapishwa na Mkuki na Nyota Publishers. Mwaka 2021, alitwaa Tuzo ya Pan African Writers Association (PAWA) kwa diwani yake ya Wino wa Dhahabu, ambayo muswada wake uliingia katika orodha fupi ya Tuzo ya Kiswahili ya Mabati Cornell mwaka 2018, ambayo sasa inajulikana kama Tuzo ya Kiswahili ya Safal ya Fasihi ya Afrika. Aidha, amewahi kushika nafasi ya pili katika Tuzo ya Ushairi ya Ebrahim Hussein (TUEHU) kwa miaka miwili mfululizo, 2018 na 2019. Hadi sasa, amechapisha jumla ya diwani sita akiwa mwandishi pekee: Bure Ghali, Wino wa Dhahabu, Hatma Yangu, Neni Kiamboni, Harufu ya Nuni na Uwapi Mwanangu? Pia ameshiriki katika uchapishaji wa diwani mbili pamoja na watunzi wengine, ambazo ni Ndimi Zenye Ncha na Ahadi Iliyotimizwa.
Kati ya malengo ya SHIWAKI, moja ni kuwajengea uwezo waandishi wa lugha ya Kiswahili katika uandishi wa…
Bado najikinga, yasikugharimu Usijeyazinga, ya kunilaumu Nitapojitenga, sijekunywa sumu Bado najifunga, zisije nadamu Sebu ya waganga,…
Jukwaa la kimataifa linalojihusisha na masuala ya fasihi na utamaduni katika kueneza ujumbe wa amani duniani (IFLAC),…
(Ushindi Wa Pawa 2021 Baada Ya Orodha Fupi Ya Mabati-cornell 2018) Alhamdulillaah alaa kulli haal! Nahmaduhu wanuswallii…
Kila lilokuwa zuri, kulipata ni muhali, mie nimeshadadisiMwanzo huwa ni shubiri, ya uchungu mara mbili, pamwe nao…
MwananguTaali keti kitako, maneno kukuambizaYakae kichwani mwako, vizuri nisikilizaIngawa mwa mboni zako, bado kuna kingi kizaTaali ewe…
Umekatika wakati, kwa kuuotesha miyeKwenye uwa katikati, tena niuhudumiyeNikiiomba bahati, ukuwe nifaidiyeSikupenda niumiye, kishapeya wangu mti Huduma…
