Ikiwa ni takriban miaka miwili tangu mkurupuko wa Korona uliposhuhudiwa nchini, adinasi wengi walionekana kuzingatia masharti yaliyowekwa na wizara ya Afya.Walakini,shirika lisilo la kiserikali MANYATTA YOUTH ENTERTAINMENT linaloongozwa na Nicholas Songora, lililoko kaunti ndogo ya Likoni – Mombasa,limekuwa mstari wa mbele kuhubiri ujumbe wa Amani Mashinani katika mitandao ya kijamii.Ni baadhi ya kikundi cha kupigiwa mfano na mashirika yote yanayojihusisha na kutoa huduma Kwa Jamii. Pongezi mkurugenzi Mkuu na washikadau wote wa MAYE Kwa kazi kuntu mnayofanya.Heko kwenu!!!!

MARTIN MWENDWA MWANTHI, TUBONGE YOUTH INITIATIVE -LIKONI MSA.

WRITER – MARTIN

Categorized in: