Lugha ni bidhaa katika soko la mawasiliano. Mawasiliano mazuri ni yenye lugha fasaha, sahihi na yenye mantiki…
Kuna mfalme aliuawa.Mwanawe, aliyerithi taji, alikula yamini kubaini chanzo cha vita viliv’oyaleta mauti yaliyomfarakanisha babake na kiti…
Niliibofya honi ya gari langu, baada ya dakika mbili hivi. Nikafunguliwa lango na bawabu wetu Bwana Maasai…
Nammininia sifa kedekede mwanahabari Mkalla Mwambodze wa kituo cha Radio Citizen, kwa kazi kuntu anayofanya ya kuwafikia…
Kwamba yataja futika, ni muhali kuaminiTulihamu Afrika, ya usawa na amaniEla yanayotufika, katu si ya kutamaniHayawi ya…
Maishani nalemewa, uzazi kulazimiwa,Unyama nilitendewa, hadi mimba nikatiwa,Sasa ni muathiriwa, mwili nilishahiniwa,Kipi kwangu uliona, baba ukaninajisi? Siku…
