Lugha ni mali jamani, chombo kilicho muhimuLugha huleta amani, kwetu sisi wanadamuLugha tuipe thamani, ni funguo za…
Machozi yananitoka, kwa niliyosimuliwaYazidi nibubujika, ni vipi yatazuiwa? Yameniliza hakika, huzuni nimeingiwaKafanya hatia gani, huruma hukumwoneya? Habari…
Mazingira ni jumla ya mambo yote yanayomzunguka kiumbe katika maisha yake. Kwa hiyo kila unachokiona ni mazingira…
Magwiji na wenye ari , naja kwenu taratibuWatunzi na wahariri, wa maneno ya dhahabuWasomi wa mashairi, mnipatie…
Ajabu yenye ajabu, kwetu sisi waislamuAibu tena aibu, vipi tutajifahamuNi zipi hasa sababu? kila leo kulaumuDada muvae…
