Chuo kikuu cha East Anglia, chini ya Tsitsi Dagarembga wametoa wito wa uwasilishaji kwa waandishi wa Afrika mashariki.
Wito huu ni wa hadithi fupi yenye maneno 2000-3000 kwa lugha ya Kiingereza au Kiswahili ili walowasilisha wawe katika nafasi ya kuweza kushiriki warsha kabambe itakafanyika jijini Nairobi tarehe 4 hadi 9 Julai, 2022.
Kwa maelezo zaidi bofa kiungo kifutacho.
https://www.uea.ac.uk/creative/international-chair-of-creative-writing
