Nammininia sifa kedekede mwanahabari Mkalla Mwambodze wa kituo cha Radio Citizen, kwa kazi kuntu anayofanya ya kuwafikia…
Kwamba yataja futika, ni muhali kuaminiTulihamu Afrika, ya usawa na amaniEla yanayotufika, katu si ya kutamaniHayawi ya…
Maishani nalemewa, uzazi kulazimiwa,Unyama nilitendewa, hadi mimba nikatiwa,Sasa ni muathiriwa, mwili nilishahiniwa,Kipi kwangu uliona, baba ukaninajisi? Siku…
Mwaka Jana tulishuhudia ongezeko la utovu wa nidhamu shuleni.Haswa shule ziliteketezwa pasi na kujali madhara yake.Ni kutokana…
Shirika lisilo la kiserikali Manyatta Youth Entertainment lililoko Gatuzi dogo la Likoni kaunti ya Mombasa,wamekuwa mstari wa…
Ikiwa ni takriban miaka miwili tangu mkurupuko wa Korona uliposhuhudiwa nchini, adinasi wengi walionekana kuzingatia masharti yaliyowekwa…
Hivi majuzi gatuzi dogo la Mvita huko Mombasa lilishuhudia moto mkubwa ambapo umewaacha wengi kupigwa na butwaa…
Kwa mara nyengine tena, kundi la ligi ya waandishi wabunifu limetangaza warsha ya uandishi. Wanakaribisha waandishi chipukizi…
Shirika la Hekaya Arts Initiative limetimiza ada yake kwa kutangaza tamasha la fasihi ya Kiswahili. Tamasha hili…
