Lipi lililokufunda, utake kuniridhia? Nilipolia na nyonda, matozi yakanishia Ulinita mwanakwenda, hutaki kunisikia Si wewe uloniponda, kama…
Si hasha tuvimbiane, kwa maneno ya kuuma, fojo zikatwelemea Ni wazi tuambiane, pendo halipo salama, kidete lachechemea…
Tumbo nitakupa nini,utwae usikufuru Kwenye hii Ramadhani,wakati wa kufuturu Vizuri wavitamani,nikupavyo hushukuru Kwa nini huna shukuru!? …
Sili kilofunuliwa, chakula hicho haramu, Kisichofunikwa kawa, kwangu hakina utamu, Msambe huku kulewa, nina akili timamu, Sili…
Mwenyezi wetu Rahimu, muumbi wa ulimwengu, Mwenye sifa tamu tamu, uishiye kwenye mbingu, Siku kitoa hukumu, na’mba…
Siachi na sitaacha, univae ubunifu Nizitunge kwa papacha, kundini niweke tifu Na mafumbo kuyaficha, ‘siwe mepesi ja…
