Habari njema kwa waandishi wa lugha ya Kiswahili. SHIWAKI (Shirika la Waandishi wa lugha ya Kiswahili) inatoa fursa ya kuwapokea washiriki wapya ambao ni waandishi wa lugha y kiswahili katika tanzu za ushairi, riwaya, hadithi fupi, simulizi, tamthiliya na makala.

Iwapo wewe ni mwandishi wa lugha ya Kiswahili na unatafuta jukwaa la kuonyesha kazi zako, basi SHIWAKI ndiyo jibu lako. Tafadhali jaza fomu hii kupitia kiungo kinachofuata ili kuthibitisha ushirikiano wako.

https://surveyheart.com/form/61f92edb51a9791026277332

Ahsantta!

Categorized in: