Wanasiasa huvuna pa bure bilashi wakati huu kivumbi cha kinyang’anyiro cha uchaguzi kinapokaribia.
Wapiga kura lazima kama ibada wakatae kuhadaiwa na vitu visivyofaa kama ngwenje ambazo haziwezi kukidhi mahitaji ya insi punde wanaponyakuwa nyadhifa husika.
Aidha, sharti wapiga kura wakatae katakakata mitego kama ii hii ili siku za usoni tusijute kwani majuto huja baadaye. Ombi langu kwa wapiga kura,tusipige kura kwa misingi ya chama cha kisiasa bali uwezo na malengo ya mtu binafsi.
Martin Mwendwa Mwanthi,
Tubonge Youth initiative-Likoni,Msa
WRITER – MARTIN
