Press ESC to close

Or check our Popular Categories...
1 Min Read
0 3

Hatwawi korokoroni,mwinyi maguvu mkwasiKuziwiwa kifungoni,kwake yeye haipasiIlitengezwa kiini,iwe ni ya kwetu sisiJela ni ya masikini,tajiri hana nafasi….

1 Min Read
0 5

Moyo nyamaza kulia,umshukuru RabukaIngawa mekulemea,mazito ya kila rikaShukuru ndiyo dunia,huwa kupanda kushukaKwinamako huinuka. Moyo kaza vumilia,nusurayo itafikaNajua…