Waelekezaji; Hassan Kassim na Kassim Kombe.Ukumbi: Alliance Français Tarehe 7 Julai ni siku ambayo inatambuliwa duniani kote…
Shirika la Waandishi wa lugha ya Kiswahili (SHIWAKI) liliandaa Tamasha la Waandishi wa Kiswahili ambalo lilihudguriwa na…
Wimapo paangalie, unaweza kuanguka,Ulimwengu uujue, dawama hubadilika,Kila kilele alie, na chini pia hushuka,Pavumapo palilie, si kazi kudamirika,Wa…
Mwishoni mwa mwezi Machi 2023, waandaaji wa TUZO YA KISWAHILI YA SAFAL-CORNELL YA FASIHI YA AFRIKA walitangaza…
Kuna banati mzuri, aloumbwa kuumbika Ulimwengu mashuhuri, kila kona atajika Urembo na utajiri, kila Mtu amtaka Alonacho…
Nilipokuwa mdogo waliniambia kua. Kua uone… Kwa hakika kipindi hicho sikuweza kuipambanua vyema kauli hii. Nami nilidhani…
Hiamka huangaza, kuliani na shimali Sikuoni mliwaza, ubavu wangu wa pili Ikiwa nilikukwaza, leo natubiya kweli Kwa…
Kati ya malengo ya SHIWAKI, moja ni kuwajengea uwezo waandishi wa lugha ya Kiswahili katika uandishi wa…
