Wakenya ninalo swali, nijibuni kwa makini,Lanisumbua akili, mwenzenu sina amani,Hivi muonavyo hali, huwa mnawaza nini?Maovu kupendelea, tunajenga…
Nisikilize Kidawa, ewe mwanangu mpendwaShika neno la kupawa, kwako liwe la kupandwaNeno jema huwa dawa, kesho usijekupindwaDunia…
Nimeketi na kuwaza, majibu nikayakosaKunyamaza sikuweza, kwa ‘livokithiri visaHivyo sauti napaza, nijibuni enyi insaWana ‘kikosa mwangaza, nani…
Barafu ya moyo Saumu.Ni miaka mitatu sasa tangu uliponibwagia zani na kuniacha katika njia panda. Mbele siwezi…
