Moyo hupata tuliya, furaha tele moyoniKila ninaposikiya, na kukuona machoniUelewe hili piya , kinitazama usoniSubira nasubiriya, kujua…
Kupenda sana hatari, neno hili nawambiaPenzi ni kama bahari, mawimbi huyumba piaNawapa hii habari, mupate kufikiriaChunga usisidimie,…
Mzalendo wa ukweli, ni yule ambaye kwambaHutunza hali na mali, nchi yake huipambaYeye huwa ni mkali, kwa…
Zilipomoka zidaka, zikaacha nazi pevuMbumbumbu akaongoka, akapotoka mwelevuHaikunya ya masika, hari ikanya kwa nguvuMtoto kamea ndevu, kipya…
Wenye vyeo tazameni, mambo yamebadilikaMaisha ni hali duni, na uchumi unashukaNi nakisi kwa madeni, na bei zimefumkaHuyu…
Kwenye magwa yagwishayo, mbwagwa akaanguka,Mgwa magwa abwagwayo, akagwa kutoinuka,Gwisho la yake magwiyo, mgwa anapopomoka,Ukigwa mgwa nyanyuka, kugwa…
