Wakenya ninalo swali, nijibuni kwa makini,Lanisumbua akili, mwenzenu sina amani,Hivi muonavyo hali, huwa mnawaza nini?Maovu kupendelea, tunajenga…
Nisikilize Kidawa, ewe mwanangu mpendwaShika neno la kupawa, kwako liwe la kupandwaNeno jema huwa dawa, kesho usijekupindwaDunia…
Nimeketi na kuwaza, majibu nikayakosaKunyamaza sikuweza, kwa ‘livokithiri visaHivyo sauti napaza, nijibuni enyi insaWana ‘kikosa mwangaza, nani…
Moyo hupata tuliya, furaha tele moyoniKila ninaposikiya, na kukuona machoniUelewe hili piya , kinitazama usoniSubira nasubiriya, kujua…
Kupenda sana hatari, neno hili nawambiaPenzi ni kama bahari, mawimbi huyumba piaNawapa hii habari, mupate kufikiriaChunga usisidimie,…
