Mwandishi Ibrahim Hussein, kupitia mhusika Kinjeketile katika tamthilia yake ajwadi yenye jina lilo hilo ‘Kinjeketile’ anasema kuwa,…
Moyo unavuja damu, hubani kusalitiwa,Ama mi si mwanadamu, pendo nalazimishiwa?Kabisa meisha hamu, penzi nimedhulumiwa,Moyo umeshahiniwa, kupenda sikutamani….
Kila lilokuwa zuri, kulipata ni muhali, mie nimeshadadisiMwanzo huwa ni shubiri, ya uchungu mara mbili, pamwe nao…
Ndugu nawaulizeni, mnipe jibu mwananaNeno haneni mneni, hadi liwe na maanaManeno nielezeni, kwa marefu na mapanaPenzi ni…
Penzi ni dawa jamani, hutibu shida na dhikiPenzi ni lulu moyoni , tambua hili rafikiPenzi lako la…
