Zilipomoka zidaka, zikaacha nazi pevuMbumbumbu akaongoka, akapotoka mwelevuHaikunya ya masika, hari ikanya kwa nguvuMtoto kamea ndevu, kipya…
Wenye vyeo tazameni, mambo yamebadilikaMaisha ni hali duni, na uchumi unashukaNi nakisi kwa madeni, na bei zimefumkaHuyu…
Kwenye magwa yagwishayo, mbwagwa akaanguka,Mgwa magwa abwagwayo, akagwa kutoinuka,Gwisho la yake magwiyo, mgwa anapopomoka,Ukigwa mgwa nyanyuka, kugwa…
Nihongwe mali muluki, ili kwako kubandukaSibanduki sibanduki, nimeganda muhibakaMwenginewe simtaki, hata angalinitakaNimeganda sitang’oka. Au mafedha malaki, na…
Katika ya makutano, kuna matuko na njeoNa mwia wa mapambano, vipambane hivi leoIwe kazi kwa mkono, kupepeta…
MwananguTaali keti kitako, maneno kukuambizaYakae kichwani mwako, vizuri nisikilizaIngawa mwa mboni zako, bado kuna kingi kizaTaali ewe…
Yule niliyempenda, moyoni nikamuwekaAnanifanyia inda, leo amenigeukaKimoyo kinanidunda, mapigo yahisabikaMoyoni nina kidonda, kidonda kisotibika. Umesalitika moyo, moyo…
Furaha iliyoje kwetu sisi wazungumzaji wa lugha wa Kiswahili! Umoja wa Afrika (AU) umeipitisha lugha ya Kiswahili…
